Dokii Afunguka Kumpenda Mwanamuziki Darasa...Adai Yupo Tayari Ku..... nayeye

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Saturday, January 21, 2017

Dokii Afunguka Kumpenda Mwanamuziki Darasa...Adai Yupo Tayari Ku..... nayeye

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++
Msanii wa filamu, Dokii ameamua kufuata nyayo za Stereo kwa kuamua kumchana rapper Darassa kuwa anampenda.
Image result for dokii


Muigizaji amedai kwa sasa anamkubali sana Darassa kupitia kazi yake ya muziki, lakini yuko tayari kuolewa naye endapo Darassa mwenyewe atahitaji hilo.

“Nampenda sana Darassa, i love him, nampenda kwa sababu ya kazi yake, lakini sijawahi kumwambia, he is handsome….Darassa mi nampenda kazi yake but is very handsome, so what do you expect?… Mie sina mtu kwa sasa, so kama Darassa akitaka kunioa, niko tayari, am ready coz he is handsome” Dokii alikiambia kipindi cha FNL cha EATV.
Related image 
Dokii alisema hayo ili kufafanua kuhusu picha ambayo ameonekana akiwa amepiga na Darassa, picha iliyozua mjadala kutokana na kuwa katika pozi lenye utata.Pia alifafanua kuhusu mahusiano yake na msanii Rich Mavoko, ambapo alisema Rich ni ndugu yake hivyo hawawezi kuwa wapenzi.Wiki chache zilizopita, rapper Stereo alimchana rapper Chemical kuwa anampenda na yupo tayari kwa lolote. 
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top