Hatarii:Dada wa Diamond Platnumz afunguka kuwa huwa hatongozwaji bali huwa anatongoza..!!!

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Tuesday, January 17, 2017

Hatarii:Dada wa Diamond Platnumz afunguka kuwa huwa hatongozwaji bali huwa anatongoza..!!!

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++

MWANAMUZIKI ambaye ni memba wa Kundi la WCB, Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ aliye  pia dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kuwa katika mapenzi kitu ambacho hakipendi ni kutongozwa na mwanaume hivyo huwa anapenda kutongoza.


Akistorisha na Mikito Nusunusu Darleen, alisema kitendo cha yeye kumtongoza mwanaume anaamini kwamba anakuwa  amempenda kutoka ndani ya moyo wake lakini akitongozwa wakati mwingine wanaume wanakuwa ni waongo hawana nia ya dhati. 

“Katika maisha yangu yote huwa sipendi kutongozwa napenda nitongoze kwa sababu naamini nikifanya hivyo nakuwa nimempenda mwanaume kweli kwani watongozaji wengi ni waongo na ninajijua kabisa  kwamba sina bahati kwenye mapenzi,” alisema.

http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top