Iyobo Anaogopa Kumnunulia Gari Aunt, Kisa Mi......

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Tuesday, January 31, 2017

Iyobo Anaogopa Kumnunulia Gari Aunt, Kisa Mi......

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++

Iyobo Anaogopa Kumnunulia Gari Aunt, Kisa Michepuko

DANSA maarufu wa Kundi la Wasafi  Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amefunguka kuwa kamwe hawezi kumnunulia gari mzazi mwenziye, Aunt Ezekiel kwa kuwa anaogopa atapandisha michepuko yake.
Iyobo alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Global Publishers ambapo alisema kwa sasa anajipanga kumnunulia nyumba mpenzi wake huyo lakini siyo gari maana anaweza kuwapandisha ‘michepuko’ wake kitu ambacho kitamuumiza bora nyumba mtu hawezi kukanyaga.
“Hapa mimi najipanga nimnunulie nyumba lakini gari hapana nimeshakataa, akipandisha ‘mababy’ zake je? Bora nyumba hakuna mtu atakayekanyaga kabisa,” alisema Iyobo.
Chanzo:GPL
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top