Kudadeki Pata Hii..Trump Kuamuru Ujenzi wa Ukuta Mpakani mwa Mexico, Kuzuia Wageni wa Kiislamu Kuingia US Kuanzia Jumatano Hii

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Wednesday, January 25, 2017

Kudadeki Pata Hii..Trump Kuamuru Ujenzi wa Ukuta Mpakani mwa Mexico, Kuzuia Wageni wa Kiislamu Kuingia US Kuanzia Jumatano Hii

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++

Rais Donald Trump ataanza kupitisha maamuzi ya juu kuhusiana na masuala ya uhamiaji kuanzia Jumatano hii, akianza na kuimarisha ulinzi wa mpakani, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani.

Rais huyo pia anatarajiwa kupiga marufuku kwa muda kuingia kwa wahamiaji kutoka katoka nchi za Kiislamu wanaoweza kuhusika na ugaidi zikiwemo Syria, Iran, Iraq, Libya, Yemen, Sudan na Somalia.

‘Big day planned on NATIONAL SECURITY tomorrow,Among many other things, we will build the wall,” alitweet.

Uamuzi huo ni miongoni mwa mambo aliyokuwa ameahidi wakati wa kampeni.
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top