STAA DIAMOND PLATNUMZ ATOA NAFASI KWA MAKAMPUNI KUTANGAZA OFISINI KWAKE By blogger at 12:22 PM KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++ Ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mkali ya muziki nchini Tanzania Diamond Platnumz kuruka LIVE katika mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania mkali huyo ameanza kwa kishindo na kuonyesha njaa zake kwa kutoa fursa kwa makampuni kuweza kutangaza biashara zao kupitia ofisi yake. Kupiitia Live Stream hiyo Diamond Platnumz amefunguka kuwa ameacha ukuta mmoja wazi ndani ya ofisi yake kwa kutoa nafasi kwa makampuni kuweza kujitangaza ofisini humo kutokana na mikutano mikubwa ambayo huwa inafanyika katika ofisi hiyo. Nimeinyaka video inayomuonyesha akifunguka juu ya mchongo huo. Play hapa chini kumsikiliza. [2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++ Share :