Trump kazini…. Nchi 7 ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Wednesday, January 25, 2017

Trump kazini…. Nchi 7 ambazo raia wake watazuiliwa kuingia Marekani

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++

Taarifa za baadhi ya maafisa wa bunge la Marekani (Congress) na mtaalamu katika Idara ya Uhamiaji zimeeleza kwamba Rais Trump leo Jumatano anatarajia kusaini miswada kadhaa ikiwemo ya kusimamisha kwa muda utoaji visa kwa raia wa nchi za Kiarabu.
January 25, 2017 Trump aliandika kwenye Twitter kwamba itakuwa siku kubwa kwa usalama wa taifa, pamoja na mambo mengine tutajenga ukuta.
Ufafanuzi uliotolewa umeeleza kuwa Trump anakusudia kuzuia kwa miezi kadhaa wahamiaji kuingia Marekani isipokuwa wale aliowataja kuwa ni wa “Jamii za wachache wanaodhulumiwa” hadi zitapopitishwa sheria kali na ngumu kuhusiana na uingiaji wakimbizi nchini humo.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, maombi ya vibali kwa raia wa Syria, Iraq, Iran, Libya, Somalia, Sudan na Yemen vitazuiliwa.
Vilevile katika ukurasa wake Twitter, Trump ameonesha pia msimamo wake wa kujenga ukuta kwenye mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mexico na kusisitiza kuwa ujenzi huo utatekelezwa kwa namna yoyote
.
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top