Wivu wa Harmonize Wamfanya Wolper Kupokea Simu Akiwa Kwenye Mahojiano

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Friday, January 6, 2017

Wivu wa Harmonize Wamfanya Wolper Kupokea Simu Akiwa Kwenye Mahojiano

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++
Msanii wa filamu nchini Jackline Wolper amekutana na kamera ya eNewz lakini katikati ya mahojiano alipokea simu ya mpenzi wake Harmonize kitendo ambacho kiliwaziba watu wengi midomo kutokana na wawili hao kudhaniwa kuwa hawakuwa wapenzi kweli.
Pia amemzungumzia mpenzi wake huyo na kusema kuwa ana wivu sana ndiyo maana hajaona shida kupokea simu yake katikati ya interview ili asimfikirie vibaya.
“Baby i’m good niko kwenye interview niko katikati ya shot nipe 5 minutes I will call you back”
Jackline Wolper pia amezungumzia kazi yake ya movie na kusema kwamba kwa sasa inabidi wajipange upya na waangalie sehemu waliyokosea huku akisisitiza kuwa bongo movie haijafa.
“Bongo movie haijafa na ninachoona inabidi tuangalie tulipoanguka pale tulipokosea then tujirekebishe lakini movie bado zipo na hazijafa”
Jackline Wolper ni kati ya wasanii wa bongo movie ambaye wenye uwezo mkubwa wa kuigiza.
eatv.tv
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top