Huyu Ndiye Mchumba wa Ommy Dimpoz? By blogger at 7:12 PM KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++ Msanii Ommy Dimpoz ambaye anafanya vyema na wimbo wake ‘Kajiandae’ wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema ikifika wakati ataweka wazi suala la mahusiano yake kwa jamii, na kumuweka wazi mchumba wake ili watu wajue. Picha aliyopost Ommy Dimpoz ikiashiria kuwa huyo ndiye mpenzi wake Ommy Dimpoz alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz cha EATV wiki kadhaa zilizopita, Ommy alifunguka na kuthibitisha kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano na raia wa China., ambaye watu wengi hawamjui. Juzi Ommy Dimpoz ametupia Instagram picha ya pamoja akiwa na binti huyo mwenye asili ya China kisha akaweka ’emoji’ yenye ishara ya love, akiashiria ‘Mapenzi bampa 2 bampa’. Ingawa Ommy Dimpoz hakutaka kufungua mjadala kwenye picha ile kwa kuamua kufunga uwanja wa comment ili watu wasiweze kuzungumza wala kujadili katika picha hiyo. Lakini ukweli ni kwamba picha ile inazungumza mambo mengi kwa kila anayeiangalia. [2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++ Share :