Picha: Harmorapa Amtembelea P-Funk Majani By blogger at 10:26 AM KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++ Msanii mchanga Harmorapa Jumatatu hii alimtembelea producer mkongwe wa Bongo Record, P-Funk Majani nakuzungumza naye mambo kadhaa kuhusu muziki. Harmorapa akiwa na producer wa Bongo Record, P Funk Majani Hivi karibuni mtayarishaji huyo mkongwe alionyesha kupendezwa na harakati za rapper huyo ambaye amekuwa akizungumziwa kila kukicha. Rapper huyo baada ya kutembelea studio hapo na kukutana na mkongwe huyo alionyesha kufurahishwa huku akiwataka watu kuacha kuongea. “Dreams are brighter days!! Nikiwa na legend producer Majani. Ya leo siyo ya jana hatuongei ongei tu #shout out,” aliandika rapper huyo Instagram. Kwa upande wa Majani alipost picha aliyopiga na rapper huyo na kuandika :Harmorapa payed us a visit today. [2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++ Share :