KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++

Ray C ambaye amerejea kwenye game kwa kasi baada ya kutoka kwenye dimbwi ya matumizi ya dawa la kulevya, amefunguka hilo alipokuwa kwenye kipindi cha FNL cha EATV, na hakutaka kueleza sababu za kuamua kuishi bila mpenzi.
Msanii huyo aliyewahi kutikisa na ngoma kadhaa za bongo fleva zenye ujumbe wa mahaba kama vile Wanifuatia nini, Na wewe milele n.k atatikisa jukwaa la Azura Jumanne katika usiku wa Valentine, ambapo amesema amepania kutoa burudani kali kutokana na kukaa muda mrefu bila kufanya show,

KUHUSU RECHO
Katika hatua nyingine, Ray C alitakiwa kutoa maoni yake kuhusu Msanii Recho ambaye amekuwa akifuata nyayo zake kuhusu kutajwa kwake kwenye orodha ya watu wanaohusika na dawa za kulevya, lakini alisema hawezi kuzungumzia suala hilo kwa kuwa hana uhakika juu ya suala hilo

[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++