Breaking News !! Rais Magufuli Amefanya Uteuzi Mwingine Muhimu,Amweka Pembeni Jaji Mkuu na Kumteua Mpya..!! By blogger at 9:10 AM KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++ Rais John Magufuli amemteua Profesa Ibrahim Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania. Profesa Juma amechukua nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Jaji Mkuu Mohamed Chande aliyestaafu. Kabla ya kuteuliwa katika nafasi hiyo, Profesa Juma alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa uteuzi huo unaanza mara moja. “Profesa Juma atakaimu nafasi hiyo hadi Rais Magufuli atakapofanya uteuzi wa Jaji Mkuu wa Tanzania,” inaeleza taarifa hiyo. Jaji Mkuu mstaafu Chande hadi kufikia Januari Mosi mwaka huu, alikuwa ameshafikisha miaka 65 ambayo ni ya kustaafu majaji wa Mahakama ya Rufani kama ulivyobainishwa katika Ibara ya 120 ya Katiba ya 1977. Jaji Chande aliteuliwa katika nafasi hiyo na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2010 akichukua nafasi ya Jaji mstaafu Augustino Ramadhani. [2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++ Share :