Breaking News!!,Mbowe Atoa Tamko la Chama Baada ya Lowassa Kukamatwa na Polisi..!!! By blogger at 9:03 AM KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++ Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amesema kuwa kitendo cha kumkata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa mkoani Geita kimedhihirisha polisi kutumika na Chama Cha Mapinduzi wakati wa chaguzi mbalimbali. Mwenyekiti huyo alisema jeshi la polisi limekuwa likiwakamata na kuwaweka ndani viongozi mbalimbali wa chama chake kwa shinikizo la CCM na kuwataka Watanzania kulaani ukamataji huo kwa kuwa ni uhuni wa kisiasa. Mbowe ametoa kauli hiyo leo jijini hapa wakati akifungua Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichohudhuriwa na wajumbe mbalimbali akiwemo Lowassa pamoja na baadhi ya wabunge. [2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++ Share :