Linah Amtaja Anayemnyima Usingizi

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Tuesday, January 31, 2017

Linah Amtaja Anayemnyima Usingizi

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++
Msanii Linah Sanga amefunguka na kuwataja wasanii ambao wanamyima usingizi na kusema hao ndiyo washindani wake kwenye muziki wa bongo fleva kwa sasa.

Linah Sanga alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ na kudai kuwa licha ya muziki wa bongo fleva kuwa na idadi kubwa ya wasanii wa kike sasa tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma haimuumizi ila anapata changamoto ambazo zinamfanya aumize kichwa na kukosa usingizi kutafuta kitu kipya cha kipekee.
“Kwa sasa hivi naweza kusema mshindani wangu mkubwa ni wasichana wote ambao saizi wanafanya vizuri mfano Ruby, Maua, Vanessa kwa sababu wote wamekuja na tunafanya muziki ambao upo sawa, lakini mimi hainiumizi ila inanifanya nizidi kujiuliza kila siku silali, natafuta kitu cha tofauti ili niwe tofauti na Maua, nifanye nini niwe tofauti na Vanessa na nifanye nini ili niwe tofauti na Rubby” alisema Linah Sanga
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top