Video: Baada ya Kuitwa Nyani, Hamorapa Atoa Maneno Mazito kwa Iyobo

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Tuesday, January 31, 2017

Video: Baada ya Kuitwa Nyani, Hamorapa Atoa Maneno Mazito kwa Iyobo

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++
DANSA mashuhuri kutoka lebo kubwa Bongo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ambaye pia ni mzazi mwenza wa Anti Ezekiel, Mose Iyobo, amefunguka kupitia mtandao wa ‘Tweeter’ wa  Hamis Mandi Mtangazaji wa XXL ya Clouds FM baada ya Bdozen ‘Hamis’ kuweka picha akiwa na mtafiti wa wa Nyani (Sokwe) duniani, Jane Goodall, ambapo (Iyobo) alimtaka mtafiti huyo apewe taarifa za uwepo wa nyani mwingine aitwaye Harmorapa.
“Duh, noma sana ila mwambie kuna nyani anaitwa Harmolapa,  angekuja kumfanyia utafiti na kujua tabia zake angetisha sana,” aliandika Mose Iyobo miongoni mwa Tweets za post hiyo.
Haijafahamika sababu ya Iyobo kumuita hivyo Harmorapa jina la mnyama, kitendo kinachotafsiriwa kama ni dharau au huenda ipo tofauti kati yao.
Global Publishers imempata Harmorapa na kutaka kujua kauli yake kuhusu maneno hayo ambapo amefunguka maneno mazito, msikilizi mwenyewe kwenye kipande cha video hii hapo chini:.
Chanzo:GPL
http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top