Askari 12 Waliotuhumiwa Kushirikiana na Wauza Unga Wasimamishwa Kazi

share upate zawadi ya kusafili na wasafi kwenda kuona show zao live

Saturday, February 4, 2017

Askari 12 Waliotuhumiwa Kushirikiana na Wauza Unga Wasimamishwa Kazi

KWA WAKUBWA TU ,KUANGALIA VIDEO YAO WAKIBANDUANA CHUMBANI BONYEZA HAPA CHINI 18++

Askari 12 Waliotuhumiwa Kushirikiana na Wauza Unga Wasimamishwa Kazi


Image result for kamanda wa polisi dar
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu amewasimamisha kazi askari 12 waliotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya wakati uchunguzi ukiendelea.IGP huyo amewaambia wanahabari, Jumamosi hii katika makao makuu ya Polisi huku akisema kuwa Polisi ndiyo chombo kinachoongoza mapambano juu ya madawa hayo, huku akisema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya askari atakayetuhumiwa.“Tumeamua kuwasimamisha kazi wote walioguswa moja kwa moja na sakata hili, pia Polisi itachukua hatua madhubuti ikiwemo kuwapeleka mahakamani wasanii waliotuhumiwa,” alisema.Askari hao ni wale waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda siku mbili zilizopita wakati akiwaambia wanahabari juu ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara na matumizi ya madawa hayo.

http://go.ad2up.com/afu.php?id=1071964
http://trendingvideos4.blogspot.com
[2.MB]DON'T WATCH THIS IF YOU ARE MARRIED BECOUSE THIS WOMAN WILL MAKE YOU DIVORCE YOUR WIFE!! FOR ADULT VIDEOS ONLY PRESS BELOW 19++

Share :
Facebook Twitter Google+

 
Back To Top